TANGU ilipofanyiwa marekebisho mwaka 1992, Ligi Kuu England (EPL), imekuwa nyumbani kwa wanasoka bora na wakubwa wa wakati ...
KWA miaka ya hivi karibuni sasa kumekuwa kama kuna utamaduni hivi wa baadhi ya timu kuhitaji sare tu zikicheza dhidi ya Simba ...
Amesema baada ya ajali hiyo waliwasiliana na serikali ya mkoa wa Lindi ambapo walitoa msaada wa ambulance tatu na kuwachukua ...
Kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa na Wakili Peter Madeleka akihoji wachezaji nyota watatu wa timu ya Singida Black Star (SBS), ...
Kwa kawaida unapotua jijini Nairobi kwa mgeni au mwenyeji, hali ya joto ni zaidi ya nyuzi joto 20, lakini kuna sehemu moja ...
BEKI wa zamani, Rio Ferdinand amesema presha ya kuichezea Manchester United si mchezo ndiyo maana wachezaji wengi wanaondoka Old Trafford wanakwenda kung'ara huko kwingineko kwa sababu ...
Wastani wa magoli kutoka kwa mashabiki wa BBC Spoti, wachezaji wanne wa Ralph Hasenhuttl wameingia kwenye timu ya wachezaji 10 bora huku wachezaji wa Southampton wakichaguliwa katika kila kitengo.
Si mara ya kwanza kusikia taarifa za aina hii, za wachezaji wa mataifa ya Afrika hasa Afrika Mashariki kusotea maslahi yao na wakati mwingine kusitisha ndoto zao za kucheza nje, kwa sababu ya ...
Ripoti ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) imeiorodhesha Kenya miongoni mwa nchi zilizovuna pesa kutokana na mauzo ya ...
Kenya ipo tayari kuandaa makala ya 56 ya mashindano ya kimataifa ya gofu ya Magical Kenya Open baadaye mwezi Februari, ...
Ajali hiyo imetokea leo Februari 10, 2025 ambapo kikosi hicho kilikuwa kikitokea Ruangwa mkoani Lindi kurejea mkoani Dodoma, ...
KLABU ya mchezo wa kriketi nchini, Aga Khan SC, imeingia mkataba wa miaka miwili na kampuni ya HÄFELE East Africa Limited kwa ...