Tausi Mdegela ni moja kati waigizaji maarufu nchini Tanzania ambaye alijulikana kupitia filamu mbalimbali kama vile mama ntilie na tamtihilia ya kapuni, anaelezea namna anavyokumbana na ...
Filamu hizo zinaozigizwa kwa lugha ya Kiswahili hutazamwa na wazungumzaji wa lugha hiyo ndani na nje ya Tanzania. Lakini suala kubwa la kujiuliza ni iwapo waigizaji wa filamu hizi wanafaidika.