Licha ya yote hayo, wasanii tajika wa mataifa ya Afrika Mashariki ... naiweka Halleluyah ushirikiano wa Willy Paul na binti mrembo, malkia wa Bongo Flava, Nandy. Utamu wa ajabu katika wimbo ...
Tamaa ya kuunga mkono wasanii wa humu nchini inaweza kuwashawishi ... na kwa sasa Afrobeat na Bongo Flava ni vipendwa vya wazi.