Tunazidi kumpongeza Rais Samia kwa kuweka bayana utayari wa serikali kuendelea kuwekeza katika afya katika kutekeleza Dira ya ...
RAIS Samia Suluhu Hassan amepokea tuzo ya heshima ya ‘The Gates Goalkeepers Award’ kutambua juhudi zake za kupunguza vifo vya mama na mtoto kwa asilimia 80, kuboresha upatikanaji huduma za afya na kuk ...
Rais Samia Suluhu Hassan ameweka historia kwa kuwa mwanamke ... kupigwa picha wakiwa pamoja tangu alipokuwa makamu wa rais Wana watoto wanne , ikiwemo mmoja ambaye kwa sasa ni mwanchama wa bunge ...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa kauli hiyo katika ... kujenga shule Mbili za Sekondari na kusomesha watoto wanaotoka kwenye familia maskini na yatima ...
Tuzo ya Gates Goalkeeper imeasisiwa na Taasisi ya Bill and Mellinda Gate mwaka 2017 ikilenga kuchochea na kuonyesha juhudi za ...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kesho, Jumanne, Februari 4, 2025 anatarajiwa kupokea tuzo ya ‘The Gates Goalkeepers ...
Tuzo hiyo hutolewa kwa viongozi waliowezesha nchi zao kuharakisha maendeleo kuelekea kufikia malengo ya maendeleo endelevu.
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimetambulisha wagombea wake wa nafasi ya urais huku kikiweka wazi mikakati mitano ya kuendelea kubaki madarakani huku kipaumbele kikiwa kuondoa tatizo la ajira kwa vijana k ...
DAR ES SALAAM: Rais Samia Suluhu Hassan amesema tangu mwaka 2021 serikali imetekeleza hatua mbalimbali kuboresha afya ...
Katibu Mkuu wa CCM Emmanuel Nchimbi ameteuliwa kuwa mgombea mwenza wa Samia Suluhu Hassan. "Hatuna wagombea mbadala kwa mwaka 2025," iliandikwa kwenye mabango. "Tumetimiza mengi katika miaka minne ...