TIMU ya Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) imefanikiwa kurejesha matumaini ya Meshack Simeo, mwanafunzi wa ...
Katibu Mkuu wa CCM Emmanuel Nchimbi ameteuliwa kuwa mgombea mwenza wa Samia Suluhu Hassan. "Hatuna wagombea mbadala kwa mwaka 2025," iliandikwa kwenye mabango. "Tumetimiza mengi katika miaka minne ...
Chama tawala nchini Tanzania, Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepitisha azimio la kumteua Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae ...
Dodoma. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amepokewa na wakazi wa Dodoma baada ya kutunukiwa tuzo ya Gates Goalkeeper huku akisema tuzo hiyo ni ya wahudumu wa sekta ya afya na Watanzania wote. Tuzo ...
Katika hafla hiyo ya chakula cha mchana, Rais Samia amezungumza mambo mbalimbali, huku akimtaka Waziri wa Biashara kuangaliwa suala la wageni kufanya biashara inayofanywa na wenyeji. “Haiwezekani ...
RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema amesikitishwa na taarifa ya kifo cha Baba wa Taifa la Namibia na Rais wa Kwanza wa taifa hilo, Sam Nujoma. Ametuma salamu za rambirambi kwa Wanamibia kutokana na kifo ...
Mgombea urais mteule Samia Suluhu Hassan, na mgombea mwenza kwa tiketi ya CCM Dk Emmanuel Nchimbi wakitambulishwa wakati rasmi katika sherehe za maadhimisho ya miaka 48 ya kuzaliwa kwa CCM ...
Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema ujenzi wa Uwanja wa michezo wa Arusha uliopewa jin la Samia Complex unaotarajiwa kutumika kwa ajili ya mashindano ya fainali za AFCON ...
KABLA ya tukio la Simba kuangusha pointi moja mbele ya Fountain Gate juzi jioni, mjadala ulikuwa kitendo cha kocha wa Yanga, Saed Ramovic kuikacha timu hiyo ndani ya muda mfupi na kuibukia CR ...
Rais Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Juma, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Sheria kitaifa, jijini Dodoma jana. RAIS Samia Suluhu Hassan, amewataka majaji na mahakimu ...
Samia has officially released “Bovine Excision,” a fan favorite that doubles as the prettiest song about cattle mutilation. “Diet Dr. Pepper, Raymond Carver,” professes the singer ...