Lengo lao lilikuwa kuingilia serikali na kuanzisha utawala unaozingatia amri kumi za Biblia ... kutoka wilaya ya Hoima magharibi mwa Uganda hadi bandari ya Tanga nchini Tanzania.
Dar es salaam, Tanzania – Sakata la Simba kuzuiwa kufanya mazoezi yake ya mwisho na mabaunsa na maafisa wanaoaminika kuwa wa Yanga katika uwanja wa Mkapa siku ya Ijumaa usiku, lilipelekea debi ...
Mtu aliyebuni jina la nchi ya Tanzania, Mohammed Iqbal Dar mwenye ... Hata hivyo, barua ya ushindi kutoka Wizarani ilionyesha kulikuwa na orodha ya wananchi 16 akiwemo yeye kutambulika kama ...
Mramba amesema ununuzi wa Umeme kutoka nchi Jirani haimaanishi kuwa nchi iko katika changamoto ya upungufu wa umeme kwa kuwa mpaka sasa Tanzania inazalisha umeme wa kutosha ambao ni Takribani Megawati ...
Tanzania, ikiwa ni Kiongozi wa Utalii wa Safari Duniani na makazi ya Serengeti, Hifadhi Bora ya Taifa Duniani, inaungana na mataifa mengine kusherehekea Siku ya Wanyamapori Duniani leo Machi 03,2025.
Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Afya imesema imewabaini watu wawili kuwa na maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Mpox. Hii ni mara ya kwanza ugonjwa wa Mpox kuingia ...
Waziri Kabudi ameainisha majukumu ya bodi hiyo kuwa ni kushirikiana na taasisi zinazohusika na masuala ya habari ndani na nje ya nchi, kuweka viwango vya taaluma na mafunzo kwa waandishi wa habari na ...
“Makubaliano ya kimataifa juu ya haki za binadamu yanaporomoshwa na viongozi wa kidikteta, wababe wa nguvu na matajiri,” amesisitiza Türk. “Kwa mujibu wa makadirio fulani, sasa viongozi madikteta ...
BAADA ya kuvuna pointi nane katika mechi tano zilizopita katika Ligi Kuu Bara, wachimba dhahabu wa KenGold leo jioni itashuka tena uwanjani kuikabiliana na wenyeji wao, maafande wa JKT Tanzania ...