Muasisi wa Taasisi ya Doris Mollel (DMF), Doris Mollel (wa saba kulia waliosimama) akiwa katika picha ya pamoja wadau wengine wa masuala ya watoto njiti. Dar es Salaam. Februari mwaka huu, Tanzania ...
BAADA ya kuvuna pointi nane katika mechi tano zilizopita katika Ligi Kuu Bara, wachimba dhahabu wa KenGold leo jioni itashuka tena uwanjani kuikabiliana na wenyeji wao, maafande wa JKT Tanzania ...
“Makubaliano ya kimataifa juu ya haki za binadamu yanaporomoshwa na viongozi wa kidikteta, wababe wa nguvu na matajiri,” amesisitiza Türk. “Kwa mujibu wa makadirio fulani, sasa viongozi madikteta ...
Rufiji. Ingawa kiwango cha umeme katika gridi ya Taifa kimezidi mahitaji ya Watanzania, Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Tanzania haitaharakisha suala la kupunguza bei ya nishati hiyo ...