Serikali ya Rwanda inashutumu muungano wa vikosi vya kimataifa vinavyopigana mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ...
Oktoba, mwaka huu, CCM kitashiriki uchaguzi wa saba wa vyama vingi, huku kikitarajiwa kuibuka na ushindi kutokana na sababu ...
Mkutano wa kilele wa pamoja kati ya EAC na SADC unafunguliwa leo Ijumaa, jijini Dar-es-Salaam, Tanzania ... Leo Ijumaa, ni mawaziri wa mambo ya nje wanaokutana. Olivier Nduhungirehe, Waziri ...
Akiichambua sera hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Uwezo Tanzania, Baraka Mgohamwende amepongeza sera hiyo kwa kutambua mabadiliko ya kiteknolojia, kiuchumi, na kijamii kama vigezo vya ...
Wengine wanaohudhuria ni rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, anaeongoza kundi la ulinzi la SADC, Waziri wa mambo ya nje wa Angola pia atahudhuria na kumuakilisha Rais Joao Lourenco. Lourenco ...
Viongozi na wakuu wa nchi zaidi ya 50 za Afrika wanakutana katika mkutano wa bara hilo kuhusu nishati utakaoanza rasmi hivi leo jijini Dar-Es-Salaam huko Tanzania. Ajenda kuu ya mkutano huo ...
Serikali ya Japani inafanya maandalizi na Marekani, Australia na India ya mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Quad wiki ijayo baada ya uapisho wa utawala mpya wa Donald Trump. Waziri wa Mambo ...
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Japani, Marekani, Australia na India wamefanya mazungumzo ya mpangokazi wa Quad jijini Washington nchini Marekani. Mkutano huo ulifanyika jana Jumanne katika Wizara ya ...
Chama hicho kilianzishwa baada ya kuunganishwa TANU, chama kilichopigania na kupatikana kwa Uhuru wa Tanganyika (Tanzania Bara ... viongozi hao waliwaita baadhi ya mawaziri ambao kero zilihusu wizara ...
Mawaziri wa Ulinzi pamoja na Wakuu wa Majeshi ... Msumbiji, Afrika Kusini, Tanzania, Zambia, Lesotho, Eswatini, Angola, Malawi na Namibia. Hali ya Usalama Mashariki mwa DRC Mkutano huo ulipokea ...