WACHEZAJI wanaolipwa fedha nyingi zaidi duniani wamebainika huku Ligi Kuu England (EPL), ikiendelea kutawala. Kampuni ya Utafiti wa Michezo ya Deloitte Football Money imechapisha data kuhusu klabu 30 ...
Bilionea maarufu duniani na kiongozi wa kiroho wa dhehebu la Ismaili katika dini ya Kiislamu, Aga Khan, amefariki dunia ...
Miongoni mwa masuala ya Afrika yaliyoangaziwa na magazeti ya Ujerumani wiki hii, ni pamoja na mzozo wa Jamhuri ya ...
Rais wa Marekani Donald Trump jana Alhamisi alitoa hotuba kwa njia mtandao kwa Kongamano la Uchumi Duniani jijini Davos nchini Uswizi. Alitoa wito kwa viongozi wa biashara duniani kuhamishia ...
Mohammed mbele ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wakati huu ambapo takwimu zinaonesha Burkina Faso ni ya kwanza duniani kwa idadi kubwa ya vifo vitokanavyo na ugaidi. Baraza lilikutana leo ...
Dodoma. Januari 13 shule mbalimbali nchini zilianza muhula mpya wa masomo wa mwaka 2025. Ndicho kipindi cha watoto kuanza safari yao ya elimu kwa kuanza masomo ya elimu ya awali, msingi, huku wengine ...
Muhula wake wa kwanza kama rais ulikuwa kati ya 2017 na 2021. Akiwa na umri wa miaka 78 na miezi 7, Trump ni rais mteule mwenye umri mkubwa zaidi katika historia ya Marekani. Hafla ya uapisho ...
Photo: Rigathi Gachagua/William Ruto. Speaking in Laikipia county on Sunday, January 19, Gachagua accused Ruto of micromanaging the Kenya Kwanza Alliance political affairs and scripting speeches for ...
MSANII wa Singeli, Dulla Makabila ameweka wazi hawezi kusema ana pesa nyingi, lakini ya kubadilisha mboga ni kawaida. "Hela ya kubadilisha mboga ninayo Alhamdulilah siwezi nikasema sina nitakuwa ...
Baada ya kuchelewesha kuanza kwa utekelezaji wa usitishaji vita kwa saa kadhaa, kundi la Wapalestina la Hamas limetoa majina ya mateka watatu wa Israel wanaopaswa kuachiliwa leo. Hamas siku ya ...
5.Sadio Mane - Pauni 673,000 kwa wiki; Staa wa zamani wa Liverpool, Sadio Mane ni mmoja wa wanasoka wanaolipwa kibosi duniani. Winga huyo wa Senegal analipwa Pauni 673,000 kwa wiki kutokana na huduma ...