Dar es salaam, Tanzania – Sakata la Simba kuzuiwa kufanya mazoezi yake ya mwisho na mabaunsa na maafisa wanaoaminika kuwa wa Yanga katika uwanja wa Mkapa siku ya Ijumaa usiku, lilipelekea debi ...
Shirika la habari la Reuters liliripoti kuwa Rais Gitanas Nauseda wa Lithuania, jirani na Urusi, alisema mwavuli wa nyuklia wa Ufaransa unaweza ukafanya kazi kama uzuiaji mkubwa kwa Urusi.
Mfumo mpya wa kinga ya mwili imegunduliwa. Upo katika sehemu ya mwili inayojulikana kwa kusaga protini na mfumo huo una muundo wa siri ambao unaweza kutapika kemikali zinazoua bakteria.
Timothy J. Oloo, Profesa wa sayansi ya siasa katika vyuo vikuu nchini Kenya na Tanzania ameiambia BBC : '' Utawala wa Donald Trump nchini Marekani umeonesha kiu ya kufuatilia maslahi ya Marekani ...
Mramba amesema ununuzi wa Umeme kutoka nchi Jirani haimaanishi kuwa nchi iko katika changamoto ya upungufu wa umeme kwa kuwa mpaka sasa Tanzania inazalisha umeme wa kutosha ambao ni Takribani Megawati ...
Mtu anakwambia, huyu tutafika kweli?” Tathmini ya Fatuma kuhusu nafasi ya mwanamke katika shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto UNICEF Tanzania ni kwamba anaona UNICEF imepiga hatua kubwa ...
BEKI wa kushoto raia wa Senegal, Cheick Sidibe amejiunga na klabu ya HJK Helsinki ya Finland akiwa mchezaji huru baada ya kuachana na matajiri wa Chamazi ... na uzoefu wake katika ligi tofauti, ...
Rais Dk. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Tanzania ni Msimamizi wa Mpango Maalum wa Nishati Safi Afrika Amesema hayo wakati akizungumza katika Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambapo ...
Umoja wa Mataifa umeelezea wasiwasi wake juu ya kuendelea kwa ghasia katika mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), ambako mapigano katika majimbo ya Kivu Kaskazini na Kivu Kusini ...
Novemba 2017, Rais mtaafu wa Tanzania (2005-2015), Jakaya Kikwete, alisema vyama vya siasa vilivyo madarakani barani Afrika, havipaswi kuvichukulia vyama vya upinzani kama maadui, bali wabia katika ...
Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Afya imesema imewabaini watu wawili kuwa na maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Mpox. Hii ni mara ya kwanza ugonjwa wa Mpox kuingia ...