KIUNGO wa KenGold, Zawadi Mauya amesema kucheza na timu kongwe kama Yanga inahitaji ukomavu wa akili na uzoefu wa kutosha wa ...
ARSENAL wako tayari kuvunja rekodi yao ya usajili kwa kutoa dau la zaidi ya Pauni 100 milioni kwa ajili ya kumsajili ...
Hatimaye sakata la wachezaji watatu nyota wa timu ya Singida Black Stars (SBS) kupewa uraia wa Tanzania, limetinga kortini.
Taarifa za ndani zinadai, Manchester United italazimika kuuza wachezaji nyota ili kupata fedha za kufanya maboresho makubwa ...
UONGOZI wa Mtibwa Sugar unatamba timu yao itarejea mapema katika Ligi Kuu Tanzania Bara ikiwa na mechi nyingi 'mkononi'. Mtibwa Sugar yenye pointi 44 ndio vinara wa Ligi ya Championship inayoendelea k ...
IKITARAJIWA kuwakabili wenyeji Fountain Gate FC katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara itakayochezwa leo kwenye Uwanja wa ...