ZAIDI ya theluthi ya wanawake wanaofanya kazi duniani wameajiriwa katika miradi ya kilimo cha mazao ya chakula na biashara. Wana majukumu mengi kama uhifadhi, usafirishaji, usindikaji na usambazaji, ...
Amesema, ili wakue kiuchumi ifanyike hivyo na sio kuendelea kuwakumbatia matajiri na wafanyabiashara wakubwa pekee. Biteko ameyasema haya leo, Februari 25, mwaka huu, mjini Kahama, huku akisema mji ...