Nairobi, Kenya – Mashindano ya hivi majuzi ya tenisi ya vijana ya Afrika chini ya umri wa miaka 14 (AJCCC) yaliyofanyika kuanzia Februari 24 hadi Machi 1, 2025, katika uwanja wa tenisi wa ...
Dar es salaam, Tanzania – Sakata la Simba kuzuiwa kufanya mazoezi yake ya mwisho na mabaunsa na maafisa wanaoaminika kuwa wa Yanga katika uwanja wa Mkapa siku ya Ijumaa usiku, lilipelekea debi ...
licha ya kuwa mchezaji huyo wa kiungo cha kati wa Uingereza mwenye miaka 19 analipwa mshahara mdogo katika kikosi cha wachezaji wakubwa. (Sun) Chanzo cha picha, Getty Images Everton itashinikiza ...
Marekani ndilo taifa linaloongoza duniani kuwa na wazungumzaji wengi zaidi wa lugha hiyo. Kati ya wazungumzaji bilioni 1.52 wa lugha ya Kiingereza duniani, karibu robo (19.74%) wapo Marekani ...
ZAIDI ya theluthi ya wanawake wanaofanya kazi duniani wameajiriwa katika miradi ya kilimo cha mazao ya chakula na biashara. Wana majukumu mengi kama uhifadhi, usafirishaji, usindikaji na usambazaji, ...
Sote tunajua ni nani alitengeneza show ya kibabe na hapa tunawangalia wachezaji sita waliong’ara zaidi ndani ya Februari, twende pamoja sasa... 6. Joao Pedro (Brighton) Hakukuwa na matatizo kwa ...
Daktari wa klabu ya Pamba Jiji, Joseph Chacha amesema wachezaji wako sawa kiafya baada ya ajali ya gari iliyotokea leo mkoani Dodoma, ambapo kikosi hicho kimeendelea na safari yao ya kwenda Morogoro ...
Daktari wa Pamba Jiji, Joseph Chacha aliliambia Mwanaspoti, wachezaji wako sawa kiafya baada ya ajali hiyo iliyotokea jana mkoani Dodoma na kikosi hicho kimeendelea na safari yao ya kwenda Morogoro.
USHINDI wa mabao 4-0 walioupata Azam dhidi ya Tanzania Prisons umeleta ahueni kubwa kwa kikosi cha matajiri hao wa Chamazi ... ya Prisons umeibua tena matumaini mapya kwa mashabiki na wachezaji. Kwa ...
Dar es Salaam. Leo ni siku ya kimataifa ya wanawake ambayo huadhimishwa Machi 8 ya kila mwaka duniani kote kwa lengo la kutambua harakati ambazo zinalenga kupigania usawa kujinsia, haki ya kuzalisha, ...
Kupitia ujumbe wake mahusisi kwa ajili ya siku hii ikiwa ni maadhimisho ya miaka 30 tangu Mkutano wa kihistoria wa Beijing kuhusu Wanawake, Guterres amesifu mafanikio ya wanawake na wasichana kote ...
Umoja wa Mataifa umeelezea wasiwasi wake juu ya kuendelea kwa ghasia katika mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), ambako mapigano katika majimbo ya Kivu Kaskazini na Kivu Kusini ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results