WAKATI zikiwa zimebaki raundi 10, kabla ya Ligi Kuu Tanzania Bara kumalizika, baadhi ya wachezaji wameanza kujipambanua na kuendelea kujiwekea rekodi ambazo zinaweza kuwafanya kutwaa tuzo mbalimbali ...
Amesema, ili wakue kiuchumi ifanyike hivyo na sio kuendelea kuwakumbatia matajiri na wafanyabiashara wakubwa pekee. Biteko ameyasema haya leo, Februari 25, mwaka huu, mjini Kahama, huku akisema mji ...
Hali hii imepelekea kile ambacho UNHCR imekitaja kama moja ya majanga mabaya zaidi ya kibinadamu duniani. SOMA: Wakazi laki moja wakimbia makazi Congo Ujerumani imesema itasitisha msaada mpya kwa ...
BARAZA la Michezo la Taifa (BMT) limegharamia wachezaji 20 wa mchezo wa ngumi na Kabadi kwa ajili ya kuiwakilisha Tanzania katika michuano ya Dunia. Kati ya wachexzaji hao, watano ni mabondia wa kike ...
Amesema "Madhara yatakuwa mabaya hasa kwa watu walio hatarini kote duniani. Nchini Afghanistan pekee, zaidi ya watu milioni 9 watakosa huduma za afya na ulinzi, huku kaskazini-mashariki mwa Syria, ...
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa ameonya juu ya mmomonyoko mkubwa wa mfumo unaoibua kitisho kwenye ukuaji na utulivu wa dunia. Mawaziri wa fedha wa G20 wanakutana Afrika Kusini. Ramaphosa ...
Katika mechi kadhaa, baadhi ya mashabiki wamekuwa wakitumia shutuma hizo kuwakebehi na kuwazomea wachezaji wakiwahusisha na na kamari. Kanuni za Fifa zinasema hivi Kanuni za Maadili za Shirikisho la ...
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu amesisitiza kuwa matatizo haya yanazidi kuwa makubwa huku asilimia moja ya matajiri duniani wakidhibiti mali nyingi zaidi ya idadi kubwa ya wanadamu kwa pamoja.
Kikosi cha sasa cha Simba kina wachezaji watano tu ambao walikuwemo kwenye kikosi chao kilichotolewa na Al Masry miaka sita iliyopita ambao ni makipa Ally Salim na Aishi Manula, mabeki Mohamed Hussein ...
LONDON, ENGLAND: SOKA limeandikisha idadi kubwa ya wachezaji na makocha ... mwa mabosi wa mabenchi ya ufundi matajiri. Mskochi huyo ndiye aliyewajibika kuibadili Manchester United na kuwa timu tishio ...
UNAKUMBUKA kauli iliyotolewa hivi karibuni na mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda kuwa kuna wachezaji wa timu ya Pamba Jiji wanaowachunguza ... Kutokana na madai hayo, Shirikisho la Soka Duniani (Fifa ...