RIPOTI ya utafiti kuhusu afya ya akili imebaini vijana wa kitanzania wana ustahimilivu mkubwa wa akili, wakipata alama za juu katika ustawi eneo hilo kati ya nchi 76 zilizofanyiwa utafiti duniani.
Tukio dhaifu lakini muhimu la hali ya hewa la La Niña lililoanza Desemba mwaka jana linatarajiwa kuwa la muda mfupi, limetangaza leo Shirika la Umoja wa Mataifa la Hali ya Hewa Duniani WMO. Kupitia ...
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa ameonya juu ya mmomonyoko mkubwa wa mfumo unaoibua kitisho kwenye ukuaji na utulivu wa dunia. Mawaziri wa fedha wa G20 wanakutana Afrika Kusini. Ramaphosa ...
Katika mechi kadhaa, baadhi ya mashabiki wamekuwa wakitumia shutuma hizo kuwakebehi na kuwazomea wachezaji wakiwahusisha na na kamari. Kanuni za Fifa zinasema hivi Kanuni za Maadili za Shirikisho la ...
WAKATI zikiwa zimebaki raundi 10, kabla ya Ligi Kuu Tanzania Bara kumalizika, baadhi ya wachezaji wameanza kujipambanua na kuendelea kujiwekea rekodi ambazo zinaweza kuwafanya kutwaa tuzo mbalimbali ...
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu amesisitiza kuwa matatizo haya yanazidi kuwa makubwa huku asilimia moja ya matajiri duniani wakidhibiti mali nyingi zaidi ya idadi kubwa ya wanadamu kwa pamoja.
Kikosi cha sasa cha Simba kina wachezaji watano tu ambao walikuwemo kwenye kikosi chao kilichotolewa na Al Masry miaka sita iliyopita ambao ni makipa Ally Salim na Aishi Manula, mabeki Mohamed Hussein ...
LONDON, ENGLAND: SOKA limeandikisha idadi kubwa ya wachezaji na makocha ... mwa mabosi wa mabenchi ya ufundi matajiri. Mskochi huyo ndiye aliyewajibika kuibadili Manchester United na kuwa timu tishio ...
Miongoni wa wachezaji wafupi walioalikwa na kwenda kucheza Saudi Arabia ni Daniel Alberto Villalva Barrios mwenye urefu wa mita futi 5 na inchi 0.63 wa Argentina ambaye inasemekana ni namba mbili kwa ...
TANZANIA inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Jukwaa la Pili wa Utalii wa Vyakula wa Shirika la Utalii Duniani Kanda ya Afrika litakalofanyika Aprili 25, 2025 jijini Arusha. Aidha, jukwaa hilo linatarajiwa ...
Nchini Kenya kwa mjibu taasisi ya twakwimu za serikali vijana millioni 3.5 hawana ajira, kumbuka idadi hii inawewa kuwa ya juu zaidi . Vigezo kadhaa vikihusishwa na ukosefu huo wa ajira, wakati ...
Maelezo ya picha, Moore akishangilia na kombe na wachezaji wenzake wa timu ya UingerezaMoore aliinuliwa juu na wachezaji wenzake wa timu ya Uingereza baada ya fainali ya Kombe la Dunia ya 1966 ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results