Katika kuelekea siku ya kimataifa ya wanawake ambayo huadhimishwa kila mwaka Machi 8 leo hapa katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa kunafanyika hafla maalum ya kuadhimisha siku hiyo ambayo mwaka huu ...
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetoa utaratibu wa misa zake ikiwemo kusitisha kupeana amani kwa mikono ili kujikinga na maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Mpox (homa ...
Na Winfrida Mtoi, Mtanzania Digital Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) kwa ushirikiano wa Shirikisho la Soka Tanzania(TFF) wameandaa mafunzo ya Soka la Ufukweni(Beach ...