Ndiyo maana hata mimi juzi nikasema mtu fulani ni mbana pua kwamba yeye ni shoo ya Bongo Fleva yule mwingine ni Shoo ya RnB sasa watu hawajaelewa," amesema Master Jay. Master ameongezea kwa kusema kwa ...
Moja ya kauli zilizotolewa kuhusu wasanii wa Bongo kushindwa kufanya shoo za live, ni ya Mtayarishaji mkongwe wa muziki, Master Jay na bila ya kumung'unya maneno na kwa utaalamu wake alisema wazi ...
Katika kipindi hichi cha mweezi mmoja wa kufanya toba (Mfungo) wapo waumini ambao hubadili mtindo wa maisha na matendo na baadhi ya wasanii wa muziki, maigizo nchini wamezungumzia kipindi hiki cha ...
Taarab Asilia ni Miongoni mwa Miziki ya kale zaidi katika Mwambao mwa Bahari ya Hindi, Zanzibar Taarab Hertage Ensemble ni miongoni mwa Makundi ya Muziki huo kutoka Visiwani Zanzibar, Ungana na ...
King Kaka Requests To Hop On Bongo Flava’s Heartbreak Song “Sitaki Mapenzi” The song was released barely three days ago. King Kaka separated with Nana Owiti after 13 years together and are currently ...
Muhando alisema yeye pamoja na baadhi ya wasanii wenzake wa muziki wa Injili, hawawezi kujivunia mafanikio yao bila kutaja jina la Alex Msama ambaye hivi karibuni alipata tuzo ya Muandaaji Bora wa ...
Na Ramadhan Hassan, Dodoma Mfuko wa Utamaduni na Sanaa Tanzania umejipanga kuboresha huduma kwa wasanii na wabunifu katika mwaka wa fedha 2025/26, kwa kuzidisha ubora na ufanisi wa utoaji wa huduma ...
Staa wa Bongo Fleva,Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz ameiomba ... Tungepata Arena na sisi ingetusaidia, hizi event zikifanyika nyingi zinatukuza. Wasanii wa Kitanzania tumejitahidi sana ...
His goal is to give his fans a romantic night filled with top-tier entertainment. Bongo Flava veteran Dully Sykes remains one of the most influential love song artistes. After making a comeback with ...
Nyumba ya Sanaa ni Makala ya Utamaduni ambayo inatoa fursa kwa wasanii na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo ...