Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo kuu Katoliki la Dar es salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, amewataka mapdre vijana kuwa tayari wakati wowote kwenda kufanya kazi za kitume katika vituo ...