Suala la upatikanaji wa nishati safi ya kupikia ni ajenda kubwa duniani kote likiwa na lengo la kuhakikisha watu wengi ...
JESHI la Polisi Mkoa wa Pwani limewakamata watu watatu wakiwa na mtoto wa miezi saba, Merysiana Melkzedeck, wanaodaiwa kumwiba kwa wazazi wake katika tukio la uvamizi lililotokea Januari 15, mwaka huu ...
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesema Afrika Kusini ni demokrasia ya kikatiba ambayo imekita mizizi katika utawala wa ...
Rais wa Kongo Félix Tshisekedi ameapa kurejesha mamlaka ya serikali mashariki mwa nchi, ambako waasi wa M23 wanaoungwa mkono ...
Arusha. Kama sio kutoijua sheria vizuri, pengine Clara Kachewa angepata kifuta machozi cha Sh505 milioni alichokuwa akilidai Shirika la Umeme (Tanesco), baada ya kupigwa shoti ya umeme iliyosababishwa ...
DAR ES SALAAM :WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Selemani Jafo ameunda kamati ya watu 15 kwa ajili ya kufuatilia changamoto inayowakumba wafanyabiashara wa Kariakoo ya wawekezaji wageni wanaokuja nchini ...
Wakati wimbi la wachuuzi wanaowasha moto na kupika kwenye hifadhi za barabara likiongezeka, imebainika hali hiyo si hatari tu ...
Mwanangu alifikia umri wa miaka minne akiwa na majina mawili. Jina la Amani alilopewa na Mustafa na jina Ramadhani alilopewa ...
Hata hivyo, alibainisha kuwa hali katika Ukingo wa Magharibi inaendelea kuzorota kutokana na mapigano, mashambulizi ya anga, upanuzi wa makazi haramu na ubomoaji wa nyumba ... kwa aina yoyote kutakuwa ...
"RIZIKI ni popote mtu wangu zidisha, piga kwata. Na ofisi ni miguu yako tafuta utapata." Hiyo ni moja kati ya mistari iliyopo ...
Mamlaka za majimbo ya Jammu na Kashmir yaliyo chini ya utawala wa India, zimeanzisha uchunguzi kutokana na ugonjwa ...