RAIS Samia Suluhu Hassan amepokea tuzo ya heshima ya ‘The Gates Goalkeepers Award’ kutambua juhudi zake za kupunguza vifo vya mama na mtoto kwa asilimia 80, kuboresha upatikanaji huduma za afya na kuk ...
Rais wa kwanza wa Namibia huru, Sam Nujoma, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 95 katika mji mkuu wa Windhoek, kiongozi ...
Waziri wa Afya, Jenista Mhagama. Na WAF – Malawi Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na wadau wa Sekta ya Afya imefanya ...
SERIKALI ya Tanzania katikaMkutano wa 74 wa Mawaziri wa Afya wa Jumuiya ya Afya ya Nchi za Afrika Mashariki, Kati, na Kusini ...
DAR ES SALAAM: SERIKALI ya Burkina Faso kupitia washauri wa rais na madaktari bingwa, wamefika nchini Tanzania ...
JKT Tanzania ilikuwa uwanjani jana, Ijumaa, mjini Arusha, lakini katika mchezo huo kulikuwa na ishu kibao, ukiachana na ...
Ukiiona utasema ni Meli ya ‘MV Lady Jean’, kwa waumini na viongozi wa Kanisa la Afrika Inland Church of Tanzania (AICT), hiyo ...
KOCHA Miloud Hamdi, amezionja dakika 90 za kwanza akiwa benchi akiiongoza Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya JKT Tanzania.
Pia, kuna wanasheria wa wizara mbalimbali, ,awaziri, Wabunge wanawake, wafanyakazi wanawake, Chama cha Madaktari wa Watoto Wachanga ... Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE) na ...
Dk Mpoki Ulisubisya ndiye alianza kuelezea hatua hizo, akirejea alipokuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya kuanzia mwaka 2016.
Katika makala haya tunazama kuangazia hali ya kibinadamu kule Goma baada ya waasi wa M23 kuwasili katika mji huo.Je hali ya kibinadamu ipo je baada ya waasi wa M23 kuwasili Goma.