Muasisi wa Taasisi ya Doris Mollel (DMF), Doris Mollel (wa saba kulia waliosimama) akiwa katika picha ya pamoja wadau wengine wa masuala ya watoto njiti. Dar es Salaam. Februari mwaka huu, Tanzania ...
Balozi wa Tanzania katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo,Said Mshana, amempokea Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Moussa Faki Mahamat, aliyewasili nchini Tanzania alfajiri ya Februari 8, ...
BAADA ya kuvuna pointi nane katika mechi tano zilizopita katika Ligi Kuu Bara, wachimba dhahabu wa KenGold leo jioni itashuka tena uwanjani kuikabiliana na wenyeji wao, maafande wa JKT Tanzania ...
“Makubaliano ya kimataifa juu ya haki za binadamu yanaporomoshwa na viongozi wa kidikteta, wababe wa nguvu na matajiri,” amesisitiza Türk. “Kwa mujibu wa makadirio fulani, sasa viongozi madikteta ...
Dar es Salaam. Bao la dakika ya 51 la mshambuliaji wa Singida Black Stars, Jonathan Sowah limetosha kuvunja rekodi ya JKT Tanzania ya kutokufungwa kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo msimu huu, ...