JAMHURI ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), imekumbwa na mgogoro, vita na mapigano hasa Mashariki mwa nchi, kwa miongoni ...
Bilionea maarufu  duniani na kiongozi wa kiroho wa dhehebu la Ismaili katika dini ya Kiislamu, Aga Khan, amefariki dunia ...
Waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda wameuteka mji muhimu wa mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo wa Goma...
Miongoni mwa masuala ya Afrika yaliyoangaziwa na magazeti ya Ujerumani wiki hii, ni pamoja na mzozo wa Jamhuri ya ...
RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuvunja na kuandika rekodi ya kuwa Rais aliyepokea idadi kubwa ya Wakuu wa Nchi (35) ...
Mohammed mbele ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wakati huu ambapo takwimu zinaonesha Burkina Faso ni ya kwanza duniani kwa idadi kubwa ya vifo vitokanavyo na ugaidi. Baraza lilikutana leo ...
5.Sadio Mane - Pauni 673,000 kwa wiki; Staa wa zamani wa Liverpool, Sadio Mane ni mmoja wa wanasoka wanaolipwa kibosi duniani. Winga huyo wa Senegal analipwa Pauni 673,000 kwa wiki kutokana na huduma ...
imesema ripoti mpya ya shirika la Umoja wa Mataifa la Kazi duniani, ILO iliyotolewa leo huko Geneva, Uswisi. Ripoti hiyo Hali ya Ajira na Jamii:Mwelekeo wa 2025 inaweka bayana kuwa mwaka 2024 ajira ...
Daniel Chapo, 47, anakabiliwa na kibarua kikubwa ya kuliunganisha taifa. Na Asha Juma & Ambia Hirsi Mkataba wa kusitisha mapigano utatekelezwa kwa awamu kadhaa kwa mujibu wa maelezo yaliyokuwa ...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema watu wanane wamefariki ... Iwapo itathibitika kwamba kuna mlipuko wa ugonjwa huo nchini, itakuwa mara pili, ya kwanza ilikuwa Machi 16, 2023 Serikali kupitia ...
Dar es Salaam. Muimbaji wa muziki wa Injili nchini, Rehema Simfukwe amevunja ukimya kwa mara ya kwanza na kueleza sababu zilizomsukuma kutunga wimbo wake maarufu "Chanzo", ambao umekuwa ukiwagusa ...
Mnamo mwaka 2020, Joe Biden alifanya kampeni juu ya uzoefu wake wa muda mrefu katika sera ya kigeni, akiwa amehudumu kama seneta na makamu wa rais kabla ya kuchaguliwa kuwa rais wa Marekani.