Kundi kubwa la wafanyikazi nchini Japani linasema kampuni kote nchini humo zimekubali kuongeza wastani ya mishahara kwa zaidi ya asilimia 5 kwa mwaka wa pili mfululizo. Shirikisho la Vyama vya ...
Baada ya miaka miwili ya mzozo, Sudani sasa inakabiliwa na janga kubwa na baya zaidi la kibinadamu duniani. Hivi ndivyo Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limebainisha siku ya Alhamisi ...
Rais wa Taiwan Lai Ching-te anasema utawala wake utafanya kazi kurejesha mfumo wa mahakama ya kijeshi. Amesema hiyo ni sehemu ya juhudi za kukabiliana na vitisho vya China vinavyotokana na ...
Siku chache kabla, wabunge wa Umoja wa Ulaya walipigia kura azimio la kutaka "kusitishwa kwa misaada ya moja kwa moja ya kibajeti kwa Rwanda hadi ikamilishe masharti yanayohusiana, miongoni mwa ...
Mwanaume aliyeingia katika dunia ya kufanya ngono huku akiwa amelewa (chemsex), ameeleza jinsi alivyogeuka kuwa "zombi" na maisha yake yalikuwa yakiharibika polepole. Chris - jina lake ...
Lakini msemo huu unaonekana kupewa kisogo na baadhi ya wasanii nchini ambao walikopa fedha kupitia Mfuko wa Utamaduni na Sanaa Tanzania. Mfuko uliopewa hati ya usajili Septemba 2020, ukiwa na lengo la ...
Rais Dk. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Tanzania ni Msimamizi wa Mpango Maalum wa Nishati Safi Afrika Amesema hayo wakati akizungumza katika Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambapo ...
Waziri Mkuu Mia amesema, kuna umuhimu wa kuwa na mkakati wa pamoja na kushirikiana kwa lengo la kukuza utalii kati ya Barbados na Tanzania na nchi za Afrika Mashariki kwa ujumla. Amesema kuna maeneo ...
Mramba amesema ununuzi wa Umeme kutoka nchi Jirani haimaanishi kuwa nchi iko katika changamoto ya upungufu wa umeme kwa kuwa mpaka sasa Tanzania inazalisha umeme wa kutosha ambao ni Takribani Megawati ...
huku matajiri wa Jiji la Dar es Salaam Azam FC iliyocheza mechi 23, ikishika nafasi ya tatu na pointi 48. Singida Black Stars iliyocheza pia michezo 23, ni ya nne na pointi 44, KenGold inaburuza mkia ...