Rais Dk Samia Suluhu Hassan. SIMANZI, majonzi na vilio vimetanda kuanzia usiku wa jana Januari 13,2025, kwenye kata ya Segera, wilaya ya Handeni mkoani Tanga, kufuatia vifo vya watu 11 na majeruhi 13, ...
RAIS Samia Suluhu Hassan, ameeleza kukerwa na matokeo mabaya ya elimu kwa wanafunzi wa shule za Zanzibar kwa madaraja ya sifuri na la nne na kusema hataki tena kuona hali hiyo ikiendelea. Akizungumza ...
Serikali ya Rwanda inashutumu muungano wa vikosi vya kimataifa vinavyopigana mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ...
IMANI potofu kwa wakazi walio wengi wa halmashauri ya wilaya ya Bukombe mkoani Geita juu ya suala la wosia imetajwa kuwa ...
RAIS Samia Suluhu Hassan ametaja changamoto tatu katika majengo kwenye eneo la Kariakoo mkoani Dae es Salaam. Ametaja ...
Wakati Soko la Kimataifa la Kariakoo jijini Dar es Salaam likitarajia kuanza tena kutoa huduma, Rais Samia Suluhu Hassan amesema moto ulioliteketeza, ulikuwa ni kupoteza ushahidi kutokana ...
Utenguzi wa Mtahengerwa, unakuja miezi michache baada ya ugomvi wa mara kwa mara na Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo kwa ...
Baghdad and BP's negotiations over a major deal to redevelop Kirkuk's oil and gas fields must include Iraq's semi-autonomous Kurdish region, the Kurdish Prime Minister told Reuters, flagging a ...
Tanzania's new president may have retained some of her predecessor's ministers, but she is keeping them on a tight leash. The President of Tanzania, Samia Suluhu ...
Katibu Mkuu wa CCM Emmanuel Nchimbi ameteuliwa kuwa mgombea mwenza wa Samia Suluhu Hassan. "Hatuna wagombea mbadala kwa mwaka 2025," iliandikwa kwenye mabango. "Tumetimiza mengi katika miaka minne ...
Polisi wa jiji waliambia BBC Marathi kwamba mwigizaji huyo alijeruhiwa baada ya ugomvi kuzuka kati yake na mtu asiyejulikana ambaye aliingia nyumbani kwake muda wa saa sita usiku. Polisi wameunda ...
Tanasha na Diamond walioshirikiana katika wimbo, Gere (2020), walikuwa na uhusiano tangu 2018 ila waliachana rasmi Machi 2020 kutokana na kile kinachotajwa ni migogoro ya kifamilia iliyokosa suluhu ..