Serikali ya Kenya inatarajia kumaliza ukarabati wa Uwanja wa Moi Kasarani mwezi Aprili. Uwanja huu wenye uwezo wa kuchukua watazamaji 60,000 ulianza kufanyiwa ukarabati tangu Desemba 2023.
Osmani Kazi amesema kitendo cha mwamuzi Abel William kuinua juu kadi mbili ni tukio ambalo halina makosa yoyote.
Baada ya kuiondoa Tottenham Hotspur katika nusu fainali ya Kombe la Carabao sasa Liverpool itavaana na Newcastle katika ...
MAKOSA yaliyofanywa na winga, Ladaki Chasambi dakika ya 75 kwa kurudisha vibaya mpira kwa golikipa, Mussa Camara, yameifanya ...
Chelsea wana imani Marc Guehi atajiunga nao, Manchester United wanavutiwa na Jean-Philippe Mateta wa Crystal Palace na ...
Taarifa za ndani zinadai, Manchester United italazimika kuuza wachezaji nyota ili kupata fedha za kufanya maboresho makubwa ...
Kocha Msaidizi wa timu ya KenGold, Omary Kapilima amesema wamejipanga vizuri kuikabili Yanga, akiamini mchezo utakuwa mzuri ...
ARSENAL mara nyingi imekuwa na nguvu ya kuvutia inayohitajika kusajili wanasoka wenye vipaji na wa kutumainiwa zaidi duniani, ...
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imejipanga vyema kukamilisha maandalizi yote muhimu ikiwemo miundombinu kwa ajili ya ...
Rais wa Marekani Donald Trump amesema hakuna aliyenusurika katika ajali ya ndege zilizogongana angani juzi Jumatano ikihusisha ndege ya abiria na helikopta ya jeshi. Jumla ya watu 67 wanahofiwa kufari ...
Waathiriwa wa ndege zilizogongana angani walikuwa ni wafanyikazi wa ndege waliojituma na wachezaji mashuhuri wa mchezo wa ...
Hiki ni kipindi kinachohusisha mahojiano ya kusisimua na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Japani. Wakati huu, ...