Hatimaye sakata la wachezaji watatu nyota wa timu ya Singida Black Stars (SBS) kupewa uraia wa Tanzania, limetinga kortini.
ARSENAL wako tayari kuvunja rekodi yao ya usajili kwa kutoa dau la zaidi ya Pauni 100 milioni kwa ajili ya kumsajili ...
MOJA ya sakata lililogonga vichwa vya mashabiki wa wadau wa soka nchini kuanzia katikati ya wiki ni uamuzi wa kupewa uraia wa ...
Wastani wa magoli kutoka kwa mashabiki wa BBC Spoti, wachezaji wanne wa Ralph Hasenhuttl wameingia kwenye timu ya wachezaji 10 bora huku wachezaji wa Southampton wakichaguliwa katika kila kitengo.
Ripoti ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) imeiorodhesha Kenya miongoni mwa nchi zilizovuna pesa kutokana na mauzo ya ...
ARSENAL mara nyingi imekuwa na nguvu ya kuvutia inayohitajika kusajili wanasoka wenye vipaji na wa kutumainiwa zaidi duniani, ...
Wachezaji hao walitoweka kutoka katika hoteli yao mjini Jinja siku ya Jumanne alfajiri. Walikuwa miongoni mwa kikosi cha wachezaji wasiozidi umri wa miaka 20 wa kikosi cha michuano ya CECAFA ...
Taarifa za ndani zinadai, Manchester United italazimika kuuza wachezaji nyota ili kupata fedha za kufanya maboresho makubwa ...
Michuano ya CHAN 2024 itaandaliwa kwa pamoja na Kenya, Uganda na Tanzania. Hapo awali hafla hiyo ilikusudiwa kufanyika ...
Idara ya Uhamiaji nchini imethibitisha kuwapa uraia wa Tanzania kwa Tajnisi wachezaji watatu wa kigeni wa timu ya Singida ...
KLABU ya mchezo wa kriketi nchini, Aga Khan SC, imeingia mkataba wa miaka miwili na kampuni ya HÄFELE East Africa Limited kwa ...
KIKOSI cha timu ya Yanga kimeanza kupiga hesabu kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar Februari 1, kikizitaka ...