LONDON, ENGLAND: SOKA limeandikisha idadi kubwa ya wachezaji na makocha ... mwa mabosi wa mabenchi ya ufundi matajiri. Mskochi huyo ndiye aliyewajibika kuibadili Manchester United na kuwa timu tishio ...
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa ameonya juu ya mmomonyoko mkubwa wa mfumo unaoibua kitisho kwenye ukuaji na utulivu wa dunia. Mawaziri wa fedha wa G20 wanakutana Afrika Kusini. Ramaphosa ...
Nairobi, Kenya – Mashindano ya hivi majuzi ya tenisi ya vijana ya Afrika chini ya umri wa miaka 14 (AJCCC) yaliyofanyika kuanzia Februari 24 hadi Machi 1, 2025, katika uwanja wa tenisi wa ...
ambao ni mpangokazi wa kimataifa wa kupambana na ongezeko la joto duniani. Pia alisema, “tutafanya kazi kwa karibu na utawala huo mpya.” ...
Baadhi ya wachezaji wa Manchester United "sio wazuri" na "wanalipwa pesa nyingi", mmiliki mwenza wa klabu hiyo Sir Jim Ratcliffe amesema. Kiungo wa kati Casemiro, mshambuliaji Rasmus Hojlund ...
Mnamo Machi 2020, mamilioni ya watu duniani walijikuta wamefungiwa majumbani mwao huku Covid-19 ikienea kwa kasi kubwa. Nchi kadhaa hazikuweka vizuizi, hivyo je, maamuzi yao yalikuwa sahihi?
Miongoni wa wachezaji wafupi walioalikwa na kwenda kucheza Saudi Arabia ni Daniel Alberto Villalva Barrios mwenye urefu wa mita futi 5 na inchi 0.63 wa Argentina ambaye inasemekana ni namba mbili kwa ...
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu amesisitiza kuwa matatizo haya yanazidi kuwa makubwa huku asilimia moja ya matajiri duniani wakidhibiti mali nyingi zaidi ya idadi kubwa ya wanadamu kwa pamoja.
Bei ya kahawa duniani ilifikia kiwango cha juu mwaka jana 2024 ikilinganishwa na miaka mingi iliyopita, ikiongezeka kwa asilimia 38.8 kwa kulinganisha na wastani wa mwaka uliopita – ongezeko ...
WAKATI zikiwa zimebaki raundi 10, kabla ya Ligi Kuu Tanzania Bara kumalizika, baadhi ya wachezaji wameanza kujipambanua na kuendelea kujiwekea rekodi ambazo zinaweza kuwafanya kutwaa tuzo mbalimbali ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results