Waziri wa Afya, Jenista Mhagama, Mkutano wa 74 wa Mawaziri wa Afya wa Jumuiya ya Afya ya Nchi za Afrika Mashariki,Kati, na ...
DAR ES SALAAM: RAIS Samia Suluhu Hassan amesikitishwa na kifo cha Rais Muasisi wa Taifa la Namibia, Dk Sam Nujoma kilichotokea jana usiku akiwa amelazwa hospitalini. Kupitia kurasa zake za mitandao ya ...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za pole kwa Rais wa Namibia na wananchi wote kufuatia kifo cha Rais wa ...
KUKOSOA juhudi za kuwawezesha watoto wa kike kwa madai kuwa zinalenga kufanya mapinduzi ya kufanikisha wanawake kutawala wanaume kunaanza kusikika. Ni maoni yanayosikika miongoni mwa wanaopinga haraka ...
RAIS Samia Suluhu Hassan amepokea tuzo ya heshima ya ‘The Gates Goalkeepers Award’ kutambua juhudi zake za kupunguza vifo vya mama na mtoto kwa asilimia 80, kuboresha upatikanaji huduma za afya na kuk ...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amepokewa na wakazi wa Dodoma baada ya kutunukiwa tuzo ya Gates Goalkeeper huku akisema tuzo hiyo ni ya wahudumu wa sekta ya afya na Watanzania wote.
Tuzo hiyo hutolewa kwa viongozi waliowezesha nchi zao kuharakisha maendeleo kuelekea kufikia malengo ya maendeleo endelevu.
Serikali ya Rwanda inashutumu muungano wa vikosi vya kimataifa vinavyopigana mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Dk. Doto Biteko ameongoza waombolezaji kuaga ...
Hatua ya Rais wa Marekani Donald Trump kusaini agizo la kuiondoa nchi hiyo katika Shirika la Afya Duniani (WHO) siku chache ...
KAZI ya ‘kimbelembele’ ngumu jamani. Hayo ni maneno ya msanii wa Bongo Movie na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao, Steve Mengele ‘Steve Nyerere’, kutokana kuwepo kwake kwenye ...
Kwa wale walioshiriki, asilimia 50.6 walisema wanaunga mkono utafutaji wa suluhu ya mapatano na viongozi wa nchi zingine wanaohusika. Raia wa Ukraine wanaonekana kuwa tayari kufikia mapatano juu ...