Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Ayoub Mohammed Mahmoud amesema umefika wakati sasa kuongeza nguvu ya ulinzi katika Ghuba ya ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linamshikilia Bangros Sikaluzwe (37), mkazi wa Ilolo, Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe kwa tuhuma ...
Wanafunzi watano walioandika lugha za matusi kwenye kwenye mitihani ya kidato cha nne wataadhibiwa na wazazi wao.
Manchester City imemsajili nyota wa Eintracht Frankfurt, Omar Marmoush, kwa mkataba wa miaka minne na nusu ambapo City ...
Wakati baadhi ya watu nchini wakiogopa kufungwa gerezani hata kama wametenda makosa, hali ni tofauti nchini Japan ambako ...
Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Shinyanga imemhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa, Nkwabi Joseph, baada ya kumkuta na hatia ...
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limezuia matokeo ya wanafunzi 459 wa kidato cha nne mwaka 2024 kwa sababu mbalimbali ...
Mahakama ya jijini Nairobi, imeamuru kijana John Wambua (29), anayedaiwa kukutwa akiwa amebeba begi lenye vipande vya mwili ...
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika kuanzia Novemba 11 hadi 29, ...
Mkali wa Bongo Fleva kutoka TMK Wanaume Family, Chege kwa miaka zaidi ya 20 ametengeneza nyimbo nyingi kubwa ndani ya kundi ...
Wakati shughuli za uapisho wa Rais mpya wa Marekani Donald Trump zikifanyika Januari 20,2025. Mke wa Rais huyo Melania Trump ...
Kiungo wa zamani wa Manchester United, Paul Scholes ametaja wachezaji nane ambao wanatakiwa kuonyeshwa mlango wa kutokea na ...